Huyu hapa Saida Karoli Mwanamuziki aliye wahi fanya vizuri ktk muziki wa kinyumbani zaidi

Qkweli! Hapa mtangazaji wa Clouds tv Zamaradi Mketema akizumza na Saida Karoli, juu ya sababu za wimbo wake kutumika kwenye filamu ya kimarekani inayoitwa Peeples iliyotengenezwa na Tyler Perry, mwaka 2013.
  
Saida Karoli - Atakanyukwile
   
 Sakina
 By-Saida Karoli