KWENYE CHATI, Balozi Dola Soul uko wapi ? Au game inashika!
Qkweli! Nyimbo ya Kwenye chati ya Balozi Dola Soul ni moja kati ya hit zilizo sumbua sana, swali la kujiuliza huyu jamaa kapotelea wapi ? Au game inashika kama wasemavyo wasanii wapya wa Bongo flava?